Fedha
        
        TEHRAN (IQNA) – Sekta ya Mfumo wa Fedha za Kiislamu duniani inatarajiwa kukua kwa karibu asilimia 10 mwaka 2023-2024, kulingana na ripoti ya S&P Global Ratings.
                Habari ID: 3476952               Tarehe ya kuchapishwa            : 2023/05/03
            
                        Mfumo wa kifedha wa Kiislamu
        
        TEHRAN (IQNA)- Rasilimali za benki za Kiislamu barani Afrika zinatarajiwa kuongezeka kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka 10 ijayo, kutokana na idadi kubwa ya Waislamu barani humo, shirika la taarifa za kifedha la Moody's Investors Service limebaini katika ripoti mpya.
                Habari ID: 3475822               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/09/22
            
                        Mfumo wa kifedha wa Kiislamu
        
        TEHRAN (IQNA) - Utafiti mpya umegundua kuwa mfumo wa kifedha wa Kiislamu unastawi kwa kasi na uko tayari kwa ukuaji wa haraka katika miaka ijayo.
                Habari ID: 3475693               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/08/28
            
                        Benki za Kiislamu
        
        TEHRAN (IQNA) – Sheria mpya inaandaliwa nchini Russia ambayo itasimamia benki za Kiislamu nchini humo katika jitihada za kuvutia wawekezaji kutoka nchi za Kiislamu.
                Habari ID: 3475510               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/07/16
            
                        Mfumo wa kifedha wa Kiislamu
        
        TEHRAN (IQNA)- Baraza la mawaziri la Uganda limefanyia marekebisho Sheria ya Taasisi Ndogo za Fedha ya mwaka 2003, ambayo itawezesha upanuzi wa huduma za kifedha za Kiislamu.
                Habari ID: 3475499               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/07/13
            
                        Benki za Kiislamu
        
        TEHRAN (IQNA) - Sekta ya benki ya Kiislamu ya Pakistani inakadiriwa kuwa inastawi haraka na hivyo itazipita kwa kiasi kikubwa benki za kawaida ifikapo 2026.
                Habari ID: 3475293               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/05/25
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Mkutano wa 31 wa Mfumo wa Kiislamu wa Iran umeanza hapa Jumanne hapa Tehran.
                Habari ID: 3474243               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/08/31
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Benki Kuu ya Tanzania (BoT) iko mbioni kutunga sheria za kuunga mkono mfumo wa Kiislamu wa benki nchini humo.
                Habari ID: 3474084               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/07/09
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)-  Kumeshuhudiwa ongezeko la utumizi wa huduma za Kiislamu za benki nchini Afrika Kusini kutokana na Waislamu kuzingatia zaidi mafundisho ya dini yao tukufu.
                Habari ID: 3473933               Tarehe ya kuchapishwa            : 2021/05/21
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA) – Kenya inatekeleza mkakati wa kuwa kituo na kitovu cha huduma za kifedha katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati mwa Afrika.
                Habari ID: 3473061               Tarehe ya kuchapishwa            : 2020/08/12
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Ethiopia wanaendelea kunufaika na huduma za Kiislamu katika taasisi za kifedha nchini humo.
                Habari ID: 3471901               Tarehe ya kuchapishwa            : 2019/04/06
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Uganda imeidhinisha sheria za mfumo wa benki za Kiislamu huku benki kuu nchini humo ikitazamiwa kuchapisha rasmi sheria hizo kama sehemu ya mikakati ya kuwashirikisha Waislamu kikamilifu katika mfumo wa kifedha.
                Habari ID: 3471381               Tarehe ya kuchapishwa            : 2018/02/05
            
                        
        
        TEHRAN (IQNA)-Baraza Kuu la Benki na Taasisiza Kifedha za Kiislamu  (CIBAFI) limepanga limetangaza kuwa kikao chake cha tatu cha kimataifa kitafnayika Aprili 18-19 mwakani mjini Istanbul, Uturuki.
                Habari ID: 3471313               Tarehe ya kuchapishwa            : 2017/12/17